Karibu kwenye episode ya 56 ya KijiweNongwa na Leo tunazungumzia nyimbo mpya toka kwa Rayvanny na Conboi. Mazungumzo yetu yanaangazia pia album mpya ya Wakazi inayoitwa Beberu Declaration na tunamaliza mjadala na tamasha la MoveAfrica ambalo Kendrick Lamar atatumbuiza katika Jiji la Kigali Rwanda na hatakuwa peke yake Zuchu atakuwa Read More
nae,tunagusia Hilo pia.
Karibu utusikilize.
Read Less